Header Ads

WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. Amina Mohammed jijini Kigali, Rwanda tarehe 26 Juni 2022. Viongozi hao walikutana kwa mazungumzo wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola uliofanyika nchini humo tarehe 20 hadi 25 Juni 2022.


Powered by Blogger.